SOKO LA MAFUTA YA UBUYU LAINGIA MASHAKANI - PARACHUKA

Wednesday, July 10, 2013

SOKO LA MAFUTA YA UBUYU LAINGIA MASHAKANI

Kutukana na utafiti ulofanyika na TFDA imebainisha yakuwa utumiaji wa mafuta ya UBUYU ka chakula ni hatari kwa walaji maana mafuta ya UBUYU yanakiasi kikubwa cha tindikali,angalizo lililo tolewa ni mafuta lazima yatumike ka dawa pia yanastahiki kutumika kwa makini sana
huu ni mti wa mbuyu ambao mwanzo ulikuwa ni mti ambao ulianzakuwa mti wa kipato kwa wengi ila kwasasa sijajua utapoteza umashuhuri wake au ndo mwanzo wa mazao yake kuingizwa sokoni kwa wingi.
Haya ni matunda ya  mbuyu, mti uishio miaka na miaka
Haya ni mafuta ya ubuyu, yapo tayari kwa matumizi, hakika yamefungashwa vizuri na wajasiriamali ambao walianza kuinukia kwa biashara hii ambayo hata walaji walishaanza kuifurahia kutokana na mafanikio yake.
Bidhaa mbali mbali za ubuyu, hizi ni miongoni mwa bidhaa chache za mbuyu ambazo wajasiriamali wanapata kipato chao kupitia biashara hii.
Kwasasa biashara ya mafuta ya ubuyu inaweza kuathirika kwa kiasi kikubwa sana kutokana na taharari ilotolewa na TFDA kuhusiana na madhara ya mafuta haya kiafya.

No comments:

Post a Comment