PICHA NA RAMANI YA MLIMA KILIMANJARO - PARACHUKA

Saturday, November 9, 2013

PICHA NA RAMANI YA MLIMA KILIMANJARO

Leo nimependa kuweka picha za mlima wetu wa tanzania kwa ajil ya kukumbushana na kuoneshana vivutio tulivyo navyo. Hakika Tanzania ni nchi ilo barikiwa maana ina karibia kila kivutio na ndo maana watu wa mataifa ya mbali wanaacha shughuli zao na kuja kuviangalia vivutio vya nchi yetu.
Watanzania tunajisahau yakuwa nasie tunaweza kuwa watalii ndani ya nchi yetu, watu tunauwezo ila hatujaamua kufanya utalii, mi naona umefika wakati wa sie kuamua kutembelea vivutio vyetu si kuwaachia wageni wajifaidie peke yao.
Lazia kilamtu aseme sitokufa kabla yakupanda mlima Kilimanjaro, viingilio kwa wazawa ni hela ndogo sana 



haya ndo mandhari ya mlima kilimanjaro na baadhi ya watalii ambao wamekuja kuangalia mlima Kilimanjaro

ramani ya mlima kilimanjaro na njia muhimu zitumikazo kupanda mlima Kilimanjaro, kila njia inaumaarufu wake na ugumu wake ila njia ya Marangu na Rongai ndio njia rahisi kupitika kuliko nyingine


watalii wapo kwenye tambarare za mlima kilimanjaro wakipanda

No comments:

Post a Comment