Hawa ni miongoni mwa wafuasi wa Ponda Issa Ponda wakitoka katika makakama ya Kisutu baada ya hukumu zao kupitishwa na kuonekana hawana hatia katika kesi iliyokuwa inawakabili |
miongoni mwa mfuasi wa Ponda Issa akifurahia kurejea uraia tena baada ya kuwa maabusu kwa muda mrefu |
kweli ni furaha ukiwa huru ukawa unajichunga mwenyewe |
halaiki ya waislamu walijumwika kuwapokea wenzao na kuwakaribisha uraiani |
Ndugu za waliokuwa maabusu walilia kwa uchungu uliochanganyikana na furaha pale walipowaona ndugu zao uraiani tena |
Watu hawakuamini kuwaona ndugu zao tena uraiani, ila Mungu aliwakutanisha tena |
Askari nao walikuwa makini na tayari tayari kukabiliana na hali yoyote ambayo ingehatarisha amani katika mazingira yao ya kazi |
pia watu wengine nao walikuwa wanahojiwa kuhusiana na hukumu iliyotolewa na siku yenyewe kiujumla |
Sheikh Ponda Issa Ponda akinena na baadhi ya watu baada ya kutoka mahakamanii |
Ponda akipongezwa na watu wenye mapenzi mema kwake, kiufupi ilikuwa ni siku ambayo ndugu, jamaa na marafiki zake waliingojea kwa hamu kubwa |
waandishi wa habari hawakuwa nyuma, walitaka kusikia angaloa kidogo toka kwake |
kwasasa Ponda Issa Ponda Anatumikia kifungo cha nje ambacho ni cha mwaka mmoja(1) |
Chanzo: Mpekuzi
No comments:
Post a Comment