| Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana |
| Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacqueline Wolper wakati wa mpambano wao |
| waliokuwa na ugomvi sasa wameamua kumaliza ugomvi wao kwa kupanda ulingoni na kurushiana makonde kwa madhumuni ya kuchangisha fedha kwaajili ya utengezezaji wa mabweni |
| Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo |
| ndani ya poz la pamoja baada ya kuyarusha ulingoni |
| akipata maneno mawili matatu toka kwa wadau wa masumbwi |
| wawili hao wanaondoka eneo la tukio |


No comments:
Post a Comment