MAISHA NIKAMA KUJA KWA JUA NA KUJA KWA KIZA. - PARACHUKA

Tuesday, November 27, 2012

MAISHA NIKAMA KUJA KWA JUA NA KUJA KWA KIZA.

Maisha ya wasanii wengi wa nchini  na  nchi nyingine yamekuwa yakikatika katika hali ya utata na yenye kuvuta  huzuni kwa wengi. kifo cha Sharo Millionea ni miongoni mwa vifo vykutia huzuni  maana ni kifo cha  haraka mno na wengi wa watu wanabaki katika  hali yakutokuamini kama kweli Sharo katutoka. kwaupande wangu huwa najiuliza mikasa inanini na wasaniii ama watu maarufuu? huwa jibu sipati ila ni huzuni tuu.
Kifo kingine ambacho nacho ni chakuhuzunisha ni cha marehemu Complex ana mareremu Vivian ambae alikuwa mchumba wa Comple x

No comments:

Post a Comment