![]() |
| Hapa ni watu wameamua kushuka kwenye magari na kuamua kutembea kwa miguu baada ya kuona hali ya foleni inazidi kuongezeka na hamna suluhu iliyofikiwa |
![]() |
| watu wakishuhudia tukio zima |
![]() |
| Wanaoonekana juu ya gari ni jeshi la polisi waliofika eneo la tukio ili kujaribu kuondo watu barabarani |





Duh lakini ni kweli ni haki yao kma walitoa maombi na hayasikilizwi na wadau minafikiria wako sawa kabisa.ila pole kwako kwa kucheleweshwa na foleni iliyotokana nao
ReplyDelete