UMEPITIA HATUA HII? AU BADO UNDANI YA HATUA HII? JIONDOE SASA! - PARACHUKA

Sunday, May 6, 2012

UMEPITIA HATUA HII? AU BADO UNDANI YA HATUA HII? JIONDOE SASA!


Katika maisha ndo vitu vinavyotokea, na jamii imekumbatia hali hii na hawataki kuachana nayo , ndugu nakuhamasisha nakupa ari ya kufanya chini juu ilimradi kuondokana na hali hii ya ukandamizaji na unyinyaji. hii ni lugha ya picha inayojaribu kuonesha jinsi watu wanavyotudhara, ila sisi si watu dhaifu kwa namna yoyote ile kwahiyo ndugu usikubali kukandamizwa namtu yoyote yule kwakisa we ni mnyonge au dhaifu Mungu hakuumba wewe dhaifu wala wewe kuwa mjinga. Fikirisha kichwa chako jikomboe kifikra alafu ujikomboe katika kudhulumiwa kiuchumi na kihali.

No comments:

Post a Comment