NDO MADHARA YA OVER EATING - PARACHUKA

Thursday, April 5, 2012

NDO MADHARA YA OVER EATING

Sasa mtu ka huyo anashapu? ana kiunoo? jamani chakula ni kizuri ka utakula kwa kiasi na utafanya mazoezi ili kujenga mwili wako katika umbo linalovutia na linalotamani ila si umbo  ka haya ambayo huwezi kusema ni umbo namba nane au namba tisa hata moja huwezi kusema.

No comments:

Post a Comment