Masai anafanya zoezi la kutosha maana panda shuka panda shuka si mchezo. sasa hapo masai akiamka asubuhi anakuta miguu imelainika ka imewekewa grisi,kucheza ni miongoni mwa mazoezi na husaidia kulinda mwili dhidi ma magonjwa nyemelezi na magonjwa madogo dogo ka mafua na homa.
No comments:
Post a Comment