Mitiki ni miti ambayo inathamani kubwa sana ndani na nje ya nchi, mitiki ni miti inayostawi na kumea vizuri katika ukanda wa kitropiki na inahitaji mvua kwanzia mililita1000 kwa mwaka ili iweze kumea vizuri. Mitiki ni miti ya kigeni toka nchi za asai na iliingia tanzana miaka mingi iliyopita na ikaanza kupandwwa maeneo mbalimbali ya Tanzania hasa yale yanye mvua za kutosha mfamo Tanga, Morogoro, Iringa na mikoa mingine inayofanana na hiyo.

miche ya mitiki, miche hii inaweza kupandikizwa shambani ikiwa na ukubwa huu na inahitaji matunzo mpaka itakapokuwa na uwezo wa kutegemea mvua pekee

shamba la mitiki.
Faida za mitiki, mitiki inafaida nyingi miongoni mwa
faida kubwa ni katika kipato kwa mkulima wa miti, uhifadhi wa ardhi. Hizi ni
baadhi ya faida tuu za miti ya mitiki ila mitiki yaweza kutumika kwa mbao,
kuni, mkaa.Miti ya mitiki inamchakato mrefu katika uandaaji wa
mbegu mpaka kuja kuipanda na hapo ndipo wengi wanapata ugumu kuiandaa ila
kunawataalamu wanaandaa na kuuza miche. Wakala wa mbegu Tanzania wanahusika na
uandaaji pia wanauza mbegu zenye ubora wa hali ya juu. Wakala wa mbegu Tanzania
ndio wahusika wakuu wa mbegu za mimea na miti mbalimbali Tanzania

miche ya mitiki, miche hii inaweza kupandikizwa shambani ikiwa na ukubwa huu na inahitaji matunzo mpaka itakapokuwa na uwezo wa kutegemea mvua pekee

shamba la mitiki.

mitiki iliyokatika shamba na iliyo katika nafasi nzuri za kuruhusu miti kutanuka na kuwa minene.



Habari mkuu...Jina langu naitwa Erick na pia nipo Dar es salam....ninatafuta soko la mitiki ninayo mingi...Mawasiliano yangu ni +255 716 225 328 Au +255 762 373 455...Email yangu ni spyrazgigga@gmail.com
ReplyDeleteHi erickvp ulifanikiwa soko la mitiki
ReplyDeleteMiti ya mitiki ya katika picha ya hapo juu ina miaka mingapi?
ReplyDeleteHiyo miti ya mitiki inakaa muda gani mpaka kuanzwa kuvunwa na kila mti unauzwa kwa bei gani?
ReplyDeleteNataka mtiki na bei gani kwa mche
ReplyDeleteNataka kujua bei ya mche ya miti ya mtiki 0652705533,076617215
DeleteNataka kujua bei ya mche ya miti ya mtiki 0652705533,076617215
Delete0657462156 nina hela 4 naitaji mnunuzi
ReplyDeleteIna umri gani na Unauza Sh . ngapi?
DeleteHabari..nina miti ya mitiki heka 2 nahitaji mnunuzi..0758078751
ReplyDeleteNina miti hekari 7 na iko tayari kuvuna...unatafuta wateja.....0658376348 or 0659966070
ReplyDeleteMawasiliano yangu 0752561185,,0627461495 shida yangu mbegu za tiki naiitaji kabla ya 20/7/2020 naomba msaada wenu wadau wenzangu
ReplyDeleteNna mitiki yakuuza mingii contact me plz 0713088755
ReplyDeleteNaombeni nahitaji mbegu ya mitiki kg 2 no. 0677825829 au 0784314308
ReplyDeleteNina hekta 2 za mitiki nahitaj mnunuzi 0719238300
ReplyDelete