Samahani kwa picha ambazo hazita furahisha, ila nimelazimika kuzionesha ili kilamtu awezekujionea ukatili huo ambao umefnyika na mtu ambae mpaka sasa hajafahamika
|
hapa ni picha ya mtoto huyo baada ya kutolewa kunye mfuko ambao ndo kaulalia kaulalia |
|
picha ya mtoto akiwa kafariki na kasittiriwa n nguo ya msamaria mwema |
|
mashuhuda wakiangalia tukio hilo la kusikitisha ambalo limetokea asubuhi ya leo katika jiji la Mbeya |
|
watu wakiwa katika hali ya majonzi |
|
mwili wa mtoto huo ukiwa umefunuliwa na askari ambao walifika katika eneo hilo |
|
askari wakiondoka na mwili wa kichanga hicho |
Katika
hali ya kutatanisha wananchi wa Soweto jijini Mbeya wamekutana na
Kifurushi ambacho ndani yake kulikuwa na mtoto mchanga amewekwa na
kutupwa akiwa amefariki, ikiwa ni tukio la pili kutokea eneo hilo baada
ya tukio kama hilo kutokea wiki mbili zilizopita.
Hata
hivyo akiongea na baadhi ya wananchi ambao hawakupenda kutaja majina
yao wamedai kwamba kuna dispensary jirani hapo ambayo hawakutaka sema ni
hospital ipi ambapo wana wasi wasi kwamba hutoa Mimba mabinti na
kuwatupa eneo hilo.
chanzo:Mbeya yetu
No comments:
Post a Comment