- PARACHUKA

Monday, March 26, 2012

Yani ilikuwa ni burudani kwanza alafu mashindano baadae.
mamisi hawa walikuwa manaburudisha mashabiki kabla ya kupanda jukwaanib na kuanza kuonesha mambo waliorithi toka kwa wazazi waon hasa wa kike. Umiss sikuizi imekuwa ni ajira kwa wasichana wengi hapa nchini na nje ya nchi, ila walimbwende wanakumbwa na changa moto nyingi sana kama vipingamizi vya kukataliwa kushiriki katika tasnia hii.

No comments:

Post a Comment