JE WAJUA HAYAA? - PARACHUKA

Tuesday, March 27, 2012

JE WAJUA HAYAA?

Hakika dunia inamambo ila mambo yamewekwa ili tuyajue na tuone utofauti uliopo kati ya mnyama na mwanadamu. Mnyama simba ambaye wengi tumesha wahi kumuona au kuwaona katika sehemu mbalimbali kama kwenye magazeti au kwenye Tv au kwa kumuona live. Inataarifiwa simba dume ananguvu sawa na wanaume arobaini wenye nguvu, maisha ya simba huwa ni maisha ambayo si magumu sana hasa kwa wale simba vijana maana wanauwezo wa kuwinda mnyama mkubwa na wampendae. simba jike anauwezo wa kuzaa watoto watatu hadi sita na akizaa watoto watatu wawili watakuwa dume na mmoja atakuwa jike na akizaa watoto watano watatu watakuwa madume na wawili atakuwa majike. haya ndo maisha ya simba kiufupi.

No comments:

Post a Comment